RDF ASALI MBICHI na RDF MDALASINI NI TIBA BORA
*RDF ASALI MBICHI na RDF MDALASINI ni TIBA* ❤
*Ugonjwa* wa *Viungo/Maumivu na Uvimbe{ARTHRITIS* }.
Wataalamu wa lishe wanapendekeza kuchukua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja ya asali pamoja na sehemu mbli za maji vuguvugu na *kijiko kimoja* {cha chai} chenye mdalasini - na kuchua sehemu zilizoathirika. Nafuu hupatikana katika muda wa *dakika moja.*
Vinginevyo *tengeneza chai* -kikombe kimoja chenye maji moto, weka *vijiko vya chakula* -viwili vya asali kwa kijiko cha chai cha mdalasini. Kunywa asubuhi na jioni ili kuondoa maumivu
Agiza asali bora kabisa *RDF ASALI MBICHI* na *RDF MDALASINI 0754731306*
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Comments
Post a Comment